Ni afadhali Simba imrudishe Morrison Koliko huyu Joshua Mutale

Ni afadhali Simba imrudishe Morrison Koliko huyu Joshua Mutale

Joined
Nov 27, 2024
Posts
43
Reaction score
127
Aisee hyu Jamaa arudi kwao maana Simba imemshinda, bora Morrison au arudishwe Sakho kuliko hasara hii, hii ni hasara kubwa kwetu, rudisheni Morrison
 
Shida ya Simba inasajiri wachezaji magalasa halafu inawapa sifa nyingi ili waonekane Bora. Ahoua wanamwita MVP ila kiuhalisia Ahoua hata hawezi kisajiliwa na Kengold. Ni mchezaji wa hovyo. Siku Simba tukiwa serious kwenye usajili na kuacha utapeli tutafika mbali.
 
Back
Top Bottom