Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa anaishi hapo au ndo alikuwa anarekebisha hapo sehemu iliyoezuliwa na upepo, MAANA SIJAONA MIFUKOMIFUKO YA rambo JIRANI YAKE!
By ze way, Mke akiwa mkorofi ndani, utatamani urudi saa ambazo yeye alishalala, na uondoke kabla hajaamka. Unakuta kazini panakuwa na faraja kuliko nyumbani...lol!
na waume zetu wakiwa wakorofi ndani tufanyaje, lilevi, gubu nk.
Wanawake ndio wamepewa moyo wa uvumilivu zaidi inapofika suala la mapenzi. Kwahiyo dada NY endeleeni kutimiza wajibu wenuna nyie ndo mvumilie pia.