Ni aibu kubwa kwa TFF kwa Simba kujiandaa mchezo wa kimataifa kwa siku 14

mchango mzuri kabisa mkuu....tuna shida ktk management ya TFF
 
NAKUMBUKA MPAKA WEKUNDU WALIGOMA KUENDELEA NA LIGI MPAKA JANGWANI WACHEZE VIPORO...TFF MNAHARIBU LADHA YA MPIRA
 
Hapa hatuongei ushabiki wa timu tunaongea jinsi ambavyo ladha ya mashindano yanavyopungua na hata maana ya ligi inaoksekana kabisa na haya ndiyo matatizo ya ushabiki wa simba na yanga.punguza hasira zako na fikiria maendeleo ya soka
 
Ni upumbavu tu wa soka la Bongo, na kwa bahati nzuri watapigwa cos watakuwa hawana match fitness, kusoma sana bila mtihani ni sawa na zero....eti ndo tifuatifua mpya, uozo mtu wanachoweza ni kufungia tu watu
 
Waingereza housemate ‘two wrongs do not a right’, yaani kasoro mbili hazifanyi sahihi moja.
 
Ni upumbavu tu wa soka la Bongo, na kwa bahati nzuri watapigwa cos watakuwa hawana match fitness, kusoma sana bila mtihani ni sawa na zero....eti ndo tifuatifua mpya, uozo mtu wanachoweza ni kufungia tu watu
Nilidhani kukusanya ‘kikosi kipana’ ni kwa madhumuni ya kuwa tayari kucheza mashindano yanayokabili kwa kujiamini bila ya kukusanya viporo. Nikazidi kuamini hivyo pale kiongozi mmoja wa timu ‘yenye kikosi kipana’ alipojinasibu kwamba wana uwezo wa kucheza mechi mbili ndani ya siku moja!
 
Sasa wamepewa siku 14 halafu wafungwe kama Taifa star huko Lesotho....😉
 
Waache wajaziwe viporo waje wavimalize wakati bingwa kaishatunza kombe stoo anasikilizia simba anarukaruka na vipolo visivyo na msaada kwake
 
ndo mana hatuendelei tunabaki na kelele? hapo simba na yanga zinaingiaje? huyu katoa mfano kwa simba kuonesha madhaifu ya TFF?
arsenal vs spurs (jpl)
arsenal vs man United (jtano)
arsenal vs hfied (jmosi)
 
Mleta mada ni Akili Mali kanywe MO ya baridi itakupoza huo ujauzito unaokusumbua chura katika ubora wako
 
Hiyo favor ni kwa mikia tu.
 
ndo mana hatuendelei tunabaki na kelele? hapo simba na yanga zinaingiaje? huyu katoa mfano kwa simba kuonesha madhaifu ya TFF?
arsenal vs spurs (jpl)
arsenal vs man United (jtano)
arsenal vs hfied (jmosi)
good....
 
Haija kaa sawa wangeweza kukopeshwa mchezo mmoja atleast kabla mechi. Ndio maanaa team zina wachezaji 30
 
Haija kaa sawa wangeweza kukopeshwa mchezo mmoja atleast kabla mechi. Ndio maanaa team zina wachezaji 30
unavyokaa muda mrefu bila mechi ndiyo fitness ya wachezaji inavyopungua.......kukaa siku 14 lazima viwango vyao vitapungua tu.
 
Mwezi huu wa 12 club zote ktk ligi ya EPL zina mechi saba za ligi tu, hapo bado kuna wengine wamecheza UEFA. Sisi Tanzania Simba na Yanga, TFF wanaziendekeza mara kibao wanavunja sheria kwa makusudi, lakini hawachukuliwa hatua za kinidhamu na ndio maana TFF inaburuzwa sana na Simba na Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…