Ni aibu kubwa sana mwanaume kumuomba kazi mwanaume mwenzio

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Kumezuka mtindo wa aibu sana siku hizi kwa watoto wa kiume kuomba kaz kwa wanaume wenzao ni aibu kubwa sana mwanaume unaenda kwa mwanaume mwenzio kuomba kaz

Mwanaume hupigana mwenyewe kwa maunjanja yake siyo kusubili kuajiliwa na mwanaume mweziye ni aibu kubwa sana hii kwakweli badiliken bhana wanaume wenzangu kuomba omba kaz kwa wanaume wenzetu sio mpango kabisa

Yaan uko umekaa job ghafla unamuona jemba anakuja kukuomba kaz, bila hata aibu kaka naomba kaz aisee hii ni aibu kubwa sana

Cha ajabu wanaume wengine siku hiz wanaomba kaz had kwa wanawake jaman mtoto wa kiume hebu sturugle mwenyewe achana na habali za kuomba omba kaz huu ni mda wa kujiajili

Nawasilisha

LONDON BABY
 
kuna aibu gani hapo labda kwa huko ulipo wewe mwanaume kumuomba kazi za kuongeza kipato mwanaume mwenzie ndo mahala pake unataka akaombwe demu au hata makaburin wanaingia wanaume kukuzika wanawake wanaishia kulia tu acha ushamba au kwa kua una kazi ndo unataka kutujulisha kua wewe una kazi
 
mpuuzi tu huyu jamaa anawekwa mjini na limama tena linamtaka kimapenzi vinginevyo anamwachisha kazi bloodful kabisa hivi lipi kher kula ugali wa shikamoo ama upate kibarua ama kazi inayokupa mkate wa siku na wengine tunao humu jf wakishukuru wamepata kazi kupitia jf kama umelewa balimi useme ushauriwe ...
 
Utajiajiri unazero mshiko, inabd ujitoe akili kiasi fulani upate pakuanzia, nawasilisha.
 
Tatizo huyu jamaa naona ameanza kunywa yale ma residues ya gongo ikiwa tayari imeisha kwenye pipa la kuitunzia mixer na bangi mbichi kbsa ya huko Mara ambayo bado iko shambani haijavunwa baada ya kupata kazi,,,,

We jamaa unatembea kwenye barabara hata kama unatumia gari kwenda kazini vyote ivyo vimetengenezwa na mikono ya wanaume wenzio, uko humu JF unatoa upupu wako huu wa kipuuzi lakini unajua kbsa inamilikiwa na mwanaume, unatumia smartphone tena ya Tecno kabsa ilitengenezwa na wanaume na mmiliki wake ni mwanaume mwenzio tena mnaijeria kutoka Africa afu unaleta uzi ya elements za ki****** hapa.......

Kweli udume suruali wako huo hautakuacha salama kabisa,,,,,,,
 
Hapo unapo paita (umekaa job ghafla unao mwanaume anakuja kukuomba kazi).
Wakati unandika barua ya kuomba kazi, uliwaza kwamba barua yako ya kuomba kazi inatufikia wanaume wenzio na kisha tuakakupa kijikazi bacho leo kinakutia kiburi, jeuri na mijishauzi isiohaja....[emoji34] [emoji34] [emoji34] [emoji34]
...mbaf zako sana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hahahaaa! Huyu jamaa hajitambui kabisa ndio maana mwishoni mwa huo upupu wake kaandika anajiita "LONDON BABY" sio buree huyu kuna kitu,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…