Ni aibu kusema Mwanza ni jiji la pili, limechoka, linachekesha, halmashauri hazina hela

Ipo barabara nyingine ya kwenda kishiri,mwanzoni nliona kama inawekwa lami ila kwa ule uembamba cjui kama hata magar mawili yatapishana,yaan ss iv imekuwa kero kwan c kwa lile vumbi kutokna na kutivuliwa
 
Nasikitika Sana umeamua kubishana na hii ZICHI

Typed Using KIDOLE
 
Kwani si kila siku mnaambiwa hali ya kiuchumi ni mbovu kuwahi kushuhudiwa kwa miongo kadhaa, hamuelewi au dharau!?
 
Sasa mnatuchanganya tumuamini nani sasa? huko si kuna barabara zenu zile za mawe hebu tuwekee na hzo, watu wamejenga vibanda umiza milimani vyoo sijui wanachimbaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hela zipi? mabeberu wamefuta misaada kwa 88%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mnatuchanganya tumuamini nani sasa? huko si kuna barabara zenu zile za mawe hebu tuwekee na hzo, watu wamejenga vibanda umiza milimani vyoo sijui wanachimbaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha barabara za Mawe...ntaweka nikipata picha... Huko milimani ni uswahilini huko.. Japo milima inatofautiana kwa maendeleo
 
Jukumu la kuhudumia barabara lilihamishwa toka halmashauri na kupelekwa TARURA; hata ada za maegesho hivi sasa zinaokota na TARURA.
 
Masikini Mwanza ! ndio mahali ccm ilishinda kwa kishindo !
 
Kwa hela zipi? mabeberu wamefuta misaada kwa 88%

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ina vyanzo vingi vya mapato,sema ww akili yako fupi kama pier liquid mlevi bora tanzania,

Pesa za kufanya mambo mengine ya kiserikali zinaweza kosekana ila za kujenga jiji la mwanza haziwezikosekana,
Narudia tena kwa sauti PESA ZA KUJENGA JIJI LA MWANZA HAZIWEZI KOSEKANA
zingatia hilo bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini Mwanza ! ndio mahali ccm ilishinda kwa kishindo !
kanda ya ziwa ndo ina base kubwa ya wapiga kura,fatilia records za nyuma ccm huwa inapata kura nyingi lake zone,
Sasa kama chama cha siasa chochote kinataka mafanikio lazima kihakikishe kinajijenga kanda ya ziwa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu ni wanafiki vibaya, leo wanajifanya wanasikitikia mwanza lakini siku ukisikia serikali inasema ijenge hata km 15 za barabara ya mwanza shy kuwa njia nne, hawa hawa watafungua threads mbalimbali, mwanza inapendelewa, raisi mbaguzi, nk
 
chief!!

unachotetea hasa ni kitu gani?
.
jamaa kaeleza vizuri changomoto zinazokabili jiji la mwanza we unakuja na propaganda za kutetea uozo, umetumwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…