Ni aibu kusema Mwanza ni jiji la pili, limechoka, linachekesha, halmashauri hazina hela

Chinga wanapewa viburi na waomba kura wao
Hapa Tanzania na Afrika viongozi hufanya vitu ili wasinyimmwe kura.
Nakuunga mkono. mji wote umejaa chinga
 
Siyo Mwanza, siyo Dar, Dom, Ar na kila mji mkubwa, ukitaka usafi na ustaarabu kwenye miji basi ondoa machinga. Ila ukitaka Vita na Serikali hasa kipindi hiki cha uchaguzi waambie kuhusu kuwafukuza machinga.
 
Mwanza pana hali sio nzuri...Hali mbaya ssna watu wanajaa milimani kule mvua zikija vinyesi vyoote ziwani..Kuna mitaa michafu squatter kali sana ila ndio hivyo utafanya nn??
 


Majiji mazuri ya kuishi ndani ya Tanzania bara

1 Mwanza
2 Arusha
3 Dar/Mbeya
 
mara nyingi nikitoka dar kwenda kwetu tarime nilikuwa napita mwanza usiku, mwaka fulani gari lilisumbua nikapita mwanza saa 6 mchana nikaiona mwanza kwamara ya kwanza kwenye mwanga,.,aisee ni aibu tupu, watu wamejenga milimani hovyo, mimaji michafu sijui ya mavi inamiminika kutoka angani, kifupi mwanza ni jalalani nisiongee sana
 


Wewe utakuwa mtu wa kaskazini ama dar,,,ndio kazi yenu kukashifu lake zone. Niseme tu, Tanzania nzima kuchafu,,,atleast Mwanza Arusha na Moshi.
 
Mwaka gani huo ulipita jombaa ?
Alafu kila mkoa una mitaa ya skwata,hakuna mkoa wa kishua tupu hakunaga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakuwa mtu wa kaskazini ama dar,,,ndio kazi yenu kukashifu lake zone. Niseme tu, Tanzania nzima kuchafu,,,atleast Mwanza Arusha na Moshi.
mimi ni mtu wa kanda ya ziwa- mkurya kutoka mara, wilaya ya tarime, kijiji cha rosana,
 
Mti wenye matunda daima hupigwa mawe
 
Wewe unapita tu.... Unajua asilimia 5% tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry unaweza kushare na mimi hiyo miradi mipya Mwanza...
 
jiji la mwanza linatia huruma,
barabara za mtaa hovyoo sana,
maeneo kama mahina hamna umeme hlf ni ktkt ya jiji,
 
Nikianza kuifananinisha makoroboi na kariakoo sioni nailinganishaje. Makoroboi haijapangwa kama kariakoo. Kariakoo iko juu zaidi. Najikita kuzungumzia mgeni anapokuja kutafuta kitu au kununua kitu. Mfano ukienda kariakoo unaweza kuta maduka hata ishirini yanejipanga mstari mmoja yanauza simu, au matairi ya magari au vipuri, au electronics au vyombo vya majumbani au furniture. Lakini makoroboi haieleweki hapa mmoja anauza nguo hapa simu, hapa mwingine viatu hapa mtu anauza vyombo yaan mwanza haiwezi ifikia dar
 
Kwanza inashangaza hoja nyepesi zinazozungumzwa kuelezea ubaya wa jiji na kuacha hoja kuu ya makazi holela.Hata vyote hivyo unavyosema vikifanyiwa kazi lakini ujenzi holela,kykosekana maeneo yalitotengwa kwa ajili ya bustani na fukwe za umma na Kudhibiti taka ,jiji litabakia kuwa uswazi na uswahili kila kona.
Cha kushangaza sijasikia chama chochote kikiongelea kutiwa mkazo kwenye matumizi bora ya ardhi ikiwamo kufuta makazi ya uswazi na ujenzi kufuata mipango miji.Seems watanzania kuishi hovyo hovyo na mauchafu Kama nzi na wanyama ndio ustaarabu wetu labda.
Mapesa yanayowekwa kujenga hayo mastendi ushenzi zinatosha Sana kuipanga hiyo miji ,mnaisafiri nchi za jirani hamuoni aibu? Bora kuwa na specific uswazi kuliko uswazi kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…