Ni aibu kwa CCM na Taifa

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam.

Zaidi ya miaka 60 tangu Tanzania iwe chini ya mtawala CCM lakini kila uchaguzi mpaka leo ahadi za CCM ni kuleta maji, kujenga barabara na kujenga zahanati.

Ni wakati sasa watanzania mmshituke kuhusu hizi ahadi maana hazitekelezeki mpaka itafika miaka 100 bado hakutakua na hizo huduma na umasikini ndo unaongezeka katika kaya zetu na vijiji.

Siku zote wajinga ndo waliwao na CCM,sijui watanganyika mtafanywa wajinga hadi lini hebu zindukeni CCM ni janga la taifa hili.
Ova.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…