mkongo
Member
- Nov 21, 2009
- 19
- 9
Wajameni, Pamoja na kuvurunda serikali na mawaziri wake, hii ni pamoja na baadhi ya kauli za viongozi zinazotetea mafisadi... nimuweke JK kwenye nafasi gani? Hii inaonyesha moja kwa moja kwamba na yeye ni fisadi na anashirikiana na mawaziri wake kutetea usifadi. Sio lazima kugombea kipindi cha pili kama umeshindwa kazi achia ngazi wengine wenye huruma na nchi na watanzania wafanye kazi. Ni hayo tu wajameni.