NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Suala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.
Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla.
Viongozi wanapiga magoti na kulia Lia inafikia hatua wengine wanamwambia chama kuwa "angalia mashabiki wanavyokupenda utawaumiza''
Huu NI upuuzi mchezaji kujiona mungu/malaika na Hili linaletwa na viongozi wasiojitambua na wasiojua Nini maana ya mkataba.