NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Vipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?Swala la Chama limemalizwa kwa misimamo
Simba ndio Club pekee ambayo Club zingine zinaiangalia kama idol zinapotaka kufanya mambo ki smart
Una Fabrice Ngoma, una Onana, una Kramo, una Che Malone, una Chama, una Moses Scars Phiri, una Saido, una Mzamiru, una Kanoute, una Kapombe, una Enonga, una Zimbwe.Vipi suala la pre season, kwenda kwa mafungu,kocha mkuu wala msaidizi kutokuwepo, nayo iigwe na timu zingine?
Kuwa na akiba ya maneno mkuuUna Fabrice Ngoma, una Onana, una Kramo, una Che Malone, una Chama, una Moses Scars Phiri, una Saido, una Mzamiru, una Kanoute, una Kapombe, una Enonga, una Zimbwe.
Mpaka hapo kocha wa kazi gani?
Na hapo ukumbuke bado kuna vyuma vingine bado vipo ku-download soon vitatambulishwa.
Mi sioni pengo la kocha kwa kikosi hiki
Kocha yupo kwao pre season haina kocha kwahiyo kocha ni bocco?Swala la Chama limemalizwa kwa misimamo
Simba ndio Club pekee ambayo Club zingine zinaiangalia kama idol zinapotaka kufanya mambo ki smart
Kwani Simba sc ni klabu ndogo hapa Tanzania??ni aibu kwa"klabu kubwa kama Simba sc kupiga magoti".
leo Uto mnasema wazi Simba ni kubwa kuliko nyinyi[emoji23][emoji28][emoji38]
Kwa kile kikosi hata ukipewa wewe hufungwiKocha yupo kwao pre season haina kocha kwahiyo kocha ni bocco?
Msimu ukianza gsm anahonga marefaKwa kile kikosi hata ukipewa wewe hufungwi
Una maanisha hii?Msimu ukianza gsm anahonga marefa
naona crap analamba viatuSuala la Chama si suala la kuchekea bali ni suala la udhariri kwa timu kubwa Kama Simba Sc kubembeleza mchezaji.
Hii haileti picha nzuri kuanzia benchi la ufundi mpaka kwa wachezaji, ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla.
Viongozi wanapiga magoti na kulia Lia inafikia hatua wengine wanamwambia chama kuwa "angalia mashabiki wanavyokupenda utawaumiza''
Huu NI upuuzi mchezaji kujiona mungu/malaika na Hili linaletwa na viongozi wasiojitambua na wasiojua Nini maana ya mkataba.
View attachment 2691318
Ongezea na magoli yaliyofungwa nje ya uwanjaUna maanisha hii?
View attachment 2691432
Umesahau na makosa ya kibinadamu ya mwamuzi yanayosababisha mpewe penati nje ya box
Lazima tuseme
Kwa maoni yangu suala hili limeharibu saikolojia ya mashabiki na wachezaji wa Yanga zaidi... ni suala ambalo linaharibu saikolojia ya wachezaji kwa ujumla.
hewaaaaa,Simba klabu kubwa Africa hapo umenena.Kwani Simba sc ni klabu ndogo hapa Tanzania??
Alivyosema Rage hakukosea kabisa