figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Nywele zinazovaliwa kila siku na kina dada na kina mama vina uhusiano mkubwa na maiti waliozikwa kisha watu kwenda kuchukua nywele zao makaburini au mahospitalini.
Kinachoshanga zaidi ni kwamba wengi wa wadada wanajua hili swala lakini wameweka urembo mbele na kutembea na maiti kichwani.
Kwa wanaume hebu jiulize inakuwa je unapenda mke mwenye nywele za maiti hali ukijua sio zake?
Tuko katika wakati wa siku za mwisho na Biblia katika danieli 12:4 kwamba siku za mwisho maarifa yataonezeka na 2 Timotheo 3:1-5 inasema siku za mwisho kutakuwako na nyakati za hatari maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha,wenye kujisifu,wenye kiburi,wenye kutukana,,wasiotii wazazi wao,wasio na shukurani,wasio safi,wasiowapenda wa kwao.
Wakati huu ndio wakati wa haya yote na shetani naye akijua kuwa ana muda mchache tu anatafuta wanadamu wamkatane YESU ili waende nae motoni milele na yeye haji direct ila anatumia vitu ambavyo wanadamu wanavipenda sana mfano wanaovamiwa zaidi na mapepo ni wadada unadhani ni kwanini? mapepo huwekwa kwenye nywele bandia, kwenye pete, heleni, cheni,bangili, marashi/ perfume, mafuta na pia vipodozi mbalimbali.
Pia tambua kuwa mapepo yakiingia ndani yako kupitia vitu hivi yatasababisha ujitenge na MUNGU mfano ukiwa na mapepo hutapenda kwenda kuombewa ili yatoke labda kwa neeema ya MUNGU, pia yanaweza kuzalisha kiburi hata kwa wazazi wako au kusababisha kupenda sana mambo fulani ambayo ni dhambi mbele za MUNGU BABA ambayo wakati mwingine huwa hadi unasema kwamba nafanya jambo hili lakini sipendi, ni kweli hupendi lakini nguvu ya mapepo ndio inakulazimisha kufanya hivyo nenda kwenye maombezi ili ufunguliwe.
Mnaovaa mawigi na kujichubua mnatia aibu. Kwanza mnanunaka madawa njia nzima kisa kujichubua. Ukitoka jasho kidogo mtu akapishana na wewe ana baki anajiuliza kama kapisha na duka la dawa linalotembea au binadamu. Si kwa hiyo harufu