Ni aibu kwa Tanzania kutokuwemo kwenye orodha ya Nchi 10 zenye Vyuo Vikuu (Universities) vingi Afrika

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Licha ya Tanzania kuwa Nchi ya 5 kwa kuwa na Idadi kubwa ya watu Afrika Ina ni Moja ya Nchi yenye watu wajinga wengi kutokana na kuwa na Vyuo Vikuu vichache sana.

Tunazidiwa Hadi na Uganda na Kenya.


My Take
Kwa takwimu hizo si ajabu tuna ujinga mwingi wa kutegemea miujiza makanisani, kuua albino na kutojitambua.

Adui kubwa wa Tanzania ni ujinga na Kwa mantiki hii, maendeleo tutaishia kuyasikia Kwa jirani.

Pia soma Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika
 
Nigeria:failed state
Kenya:failed state
Ethiopia:failed state
Uganda:failed state
#quantity doesn't matter quality does.
Thibitisha jinsi gani Uganda ni failed state
 
Ukiona kuna nchi 4 za Afrika zinaizidi South Africa kwa wingi wa universities basi ujue wingi wa universities sio dili, dili ni quality ya universities hizo.
 
Ukiona kuna nchi 4 za Afrika zinaizidi South Africa kwa wingi wa universities basi ujue wingi wa universities sio dili, dili ni quality ya universities hizo.
Kwanini umeitumua south Africa Kama kigezo?
 
Nigeria:failed state
Kenya:failed state
Ethiopia:failed state
Uganda:failed state
#quantity doesn't matter quality does.

 

Attachments

  • Screenshot_20250202-134132.jpg
    22.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250202-134119.jpg
    66.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250202-134111.jpg
    66.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250202-134101.jpg
    59.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250202-134051.jpg
    75.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250202-134035.jpg
    73.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…