kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Katika kampuni ninazoziona hazijali hadhi ya mteja ni Tata.
Mabasi yao ni kama yametengenezwa VETA na wale vijana walioanza kujifunza kuunda mabodi.
Haya mabus hata ukilinganisha na coaster utaona kuwa coaster ni gari luxury sana. Seat za mabus ya tata ziko karibu karibu kiasi kwamba mtu wa urefu wa wastani akikaa magoti yanagusa seat ya mbele na kama ni safari ndefu,inakuwa ni adhabu kubwa sana.
Hawa Tata hawana wabunifu na inaonekana mafundi wao ni wale akili za kawaida tu.Yaani hata wachina wako vizuri mno katika kuunda mabodi ya gari.
Mimi nauliza ni kwa nini walienda kununua utopolo kama huo?
Hapa ndipo huwa naanza kukubaliana na maoni ya watu wanaopinga uwekezaji wa Mo.Maana atatuletea mambo ya hovyo hovyo mradi amechukua kwa ndugu zake wahindi.