..jamani huyu Peter Mziray mimi namuona kama ni mgombea binafsi vile.
..sasa nimeshtuka kwamba kuna majimbo ambayo ameweza kuwashinda wagombea wa vyama established kama NCCR,CUF,na TLP.
..i mean haistahili kabisa kwa mgombea anayejaribu kushika madaraka ya dola kushindwa ktk jimbo hata moja na mgombea wa chama cha kwenye briefcase kama Peter Mziray.
Mziray nina uhakika alipata kura nyingi baada ya kuanza kumpigia Slaa kampeni ,kule mwanza Kuga alimpigia Slaa debe kaMA MNAKUMBUKA HII ILIMFANYA APAte soko na ccm, hawakuchsakachua kura zake akawafunika wenzake..jamani huyu Peter Mziray mimi namuona kama ni mgombea binafsi vile.
..sasa nimeshtuka kwamba kuna majimbo ambayo ameweza kuwashinda wagombea wa vyama established kama NCCR,CUF,na TLP.
..i mean haistahili kabisa kwa mgombea anayejaribu kushika madaraka ya dola kushindwa ktk jimbo hata moja na mgombea wa chama cha kwenye briefcase kama Peter Mziray.
asante mkuu kwa data, afu hizo za dk ni baada ya kuchakachulia na sisiem