Source gazeti la uhuru tarehe 26-12-2014. Nimeanza na chanzo ili kupunguza maswali.
Binafsi nimeshindwa kuwaelew hawa wasomi wetu juu ya uwezo wao wa kuchambua mambo ili kuja na suluhisho.
Kuipongeza hotuba ya JK juu ya escrow ni kutokumsaidia na kutowasaidia wananchi kuujua ukweli. Mnaiungaje mkono wakati wenzao hawakupata mkopo kutokana na kukosekana kwa fedha? Hivi zile sh. 21bn zilizoachwa kulipwa tra zingeweza kufanya mangapi katika jamii?.
Hebu mje mtuambie mmempongeza kwa lipi?.