Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Inawezekana vipi mtu na akili zako timamu uamue kujiita chawa?
Mbona kulikuwa na majina mengi sana ya heshima kwenye jamii?
Hiyo yote ni kutafuta shortcut za kutoboa kimaisha?
Unakubali kuondoa utu wako kiasi unajiita chawa?
Usishangae kwenye hilo kundi kuna wasomi kabisa wanajiita chawa!
Watanzania tubadilike maana majina yapo mengi mazuri na yenye heshima jamani.