Yaweza kuwa ni ile timu umoja ambayo inamhujuma,ila inajificha kwenye neno chawa🤔.Hata siiwaamini ,uchawa umeficha mengi ndani yake 🤔Inawezekana vipi mtu na akili zako timamu uamue kujiita chawa?
Mbona kulikuwa na majina mengi sana ya heshima kwenye jamii?
Hiyo yote ni kutafuta shortcut za kutoboa kimaisha?
Unakubali kuondoa utu wako kiasi unajiita chawa?
Usishangae kwenye hilo kundi kuna wasomi kabisa wanajiita chawa!
Watanzania tubadilike maana majina yapo mengi mazuri na yenye heshima jamani.
View attachment 2633334
Aisee wewe "Mmawia" ndo unakula chochote kilicho mbele yakoInawezekana vipi mtu na akili zako timamu uamue kujiita chawa?