Prince Mellance
Member
- Aug 30, 2022
- 28
- 24
Wengi wetu sisi hatuna "makazi" ni homeles au watoto wetu au ndugu zetu wenye miaka 18+ na kuendelea.
Ni jambo la kawaida kwa wakati fulani kukosa makazi sio kila mtu anabahati ya ndugu au wazazi.
AKUNA NAMNA TUNAWEZA KUONDOA KABISA ASIWEPO MTU ASIWE NA MAKAZI YANI HOMELESS ILA TUNAWEZA KUHAKIKISHA KILA MTU ANALALA NDANI.
Kwa sababu atujui kwesho yetu inaweza isiwe kwetu ila watoto wetu huko tuendako maisha yakawapiga wakakosa sehemu ya kulala kwa wakati fulani
Kama tumeweza kujenga sehemu za ibada kama barabara kila kitu inatushinda nini kujenga sehemu za binadamu wenzetu kulala.
Nini kinashindikana kila miji au au wilaya iwe na sehemu maalumu kama kambi kwanza awaitaji mambo mengi wanataiji iwe kama li hall ambayo ina sehemu za kulala mabafu, vypo na sehemu za kutunzia vitu.
Tunawaacha wanateseka wanalala nje bila hata godoro wala shuka.Fikiroa kwa mwanmke au mama jinsi anavyoteseka ndio maana hata wengi wanachuku maamu,i magumu kujiuza na mambo mengine maovu ili kujinusiru.
Unaweza ukazani watu wasio na pakulala wako tu ulaya hata Tanzania wako wengi ukipita mwenge hyo barabara mpka ubungo au posta wako wengi hasa mida ya saa nane usiku mpka saa kumi na mojana moja utaona vizuri.
Hata kama akuna hata mmoja lazima tuwe na sehemu lolote linaweza kutolea.
Tuwe na huruma tuwe na ubinadamu atuwezi kusema tuna akili au tnuna upendo ikiwa tunaacha watu wanalala nje sio kitu kizuri.
Namini sisi wengi tuna moyo mzuri na upendo tunaweza tukawa mfano tukabadilisha dunia iweze kuwa sehemu nzuri kwa kila mmoja.
Sio kweli watu wasio na makazi awafanyi kazo au wavivu wengi wao wamafanya kazi ngumu kwemye jua lote kama kuota makoppa au mawe kuponda auisafi.
Wanaitaji sehemu ya kutuliza tu akili na kupumzika kila kotakuwa sawa. Tena tukiwaweka pamoja inakuwa rahisi ata lupata ushauri na wakajifunza na wakafanikiwa haraka wakajitegemea.
PIA NI HATARI KWETU KUACHA WAKILALA NJE HASA BARABARANI TUNAKOPOTA NI AIBU HATA MBELE YA WATOTO WETU KUONA UNYAMA NA UKATILI WATU WAKITESEKA NAAMINI TUNAWEZA KUONDOA HIKI TATIZO NI DOGO SANA KWETU.
Asnte sana kwa Mda wako
Mwenyezi Mungu akubariki naamini kwa pamoja tunaweza kuibadili dunia na kufanya iwe sehemu salama kwa kila mmoja.
Tafadhali nakuomba share huu ujumbe kadri unavyoweza na pia unaweza ukapitia kurasa zangu za kijamii hasa instagram natumia jina ka Prince ndeserua.
Au Whatsapp : +255759907958.
Nitafurahi sana kwa maoni yako naamini tunanguvu kubwa na uwezo mkubwa wa kubadili hasa mifumo tulionayo.
Unaweza pia ukatazama interview niliofanya na bingo online Tz kwa amelezo zaidi ussite kuwasiliana nami[emoji120][emoji120][emoji120]

Upvote
0