Jamani hii inasikitisha sana kuona kwamba nchi zetu haziwezi hata kutengeneza vitu vidogovidogo ambavyo vingeweza kutusaidia katika maisha yetu ya kila siku.
Kwa kweli mimi nawaahidi kuleta mrejesho kwa kuwa nina mpango wa kuanzisha kiwanda kidogo angalau cha kutengeneza Maize sheller, Mashine ya kutengeneza juice ya miwa, majembe ya kulimia, n.k.
Unakuta mtu amehitimu chuo kikuu UDSM course ya Mechanical engineering halafu linatembeza vyeti eti kutafuta ajira badara ya kuanzisha firms kama hizo. Yaani hata kutengeneza mashine ya kuchonga stick za meno tunashindwa? Duuu wana JF naomba mnipe changamoto kabla sijajiingiza kwenye hii kazi.