Ni aibu nchi zetu hazina viwanda hata vya kutengeneza bidhaa ndogondogo

nkobhe255

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
234
Reaction score
292
Jamani hii inasikitisha sana kuona kwamba nchi zetu haziwezi hata kutengeneza vitu vidogovidogo ambavyo vingeweza kutusaidia katika maisha yetu ya kila siku.

Kwa kweli mimi nawaahidi kuleta mrejesho kwa kuwa nina mpango wa kuanzisha kiwanda kidogo angalau cha kutengeneza Maize sheller, Mashine ya kutengeneza juice ya miwa, majembe ya kulimia, n.k.

Unakuta mtu amehitimu chuo kikuu UDSM course ya Mechanical engineering halafu linatembeza vyeti eti kutafuta ajira badara ya kuanzisha firms kama hizo. Yaani hata kutengeneza mashine ya kuchonga stick za meno tunashindwa? Duuu wana JF naomba mnipe changamoto kabla sijajiingiza kwenye hii kazi.
 
Mtoa mada umekula maharagwe ya wapi, unatoa gesi. Mtu hana ajira which means hana kipato (fedha) unategemea aanzishe firm kwa mtaji upi?
 
Mtoa mada, Mtu hana ajira which means hana kipato (fedha) unategemea aanzishe firm kwa mtaji upi?
 
Mkuu ukifanikiwa ndipo uwaite wanaotafuta ajira majitu!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…