Ni aibu sana hadi Leo nchi haijui mfungaji bora ni nani? Aisee hii ni kali

Sasa kwani nyie mlitakaje? Hata wakiweka hilo goli la penati tuje kwenye kigezo changu mimi hayo magoli 17 aliyofunga yameipeleka wapi timu yake? Huyu mwingine magoli yake yamesaidia timu yake kukusanya makombe. Anywys hizo ni kanuni kama zile zilizoamua ubingwa wa USMA mkashangilia. Hahaa
 
Inawezekana wamejichimbja ndani kuandika kanuni fasta fasta, mana kama zingekuwepo tayari kuhusu mfungaji bora ingekuwa imeishajulikana, wangetupia kwenye website ya TFF tu kabla hata haijafika jioni. Ila Bongo tunafurahisha sana!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Napata mashaka sana kama kweli kuna viongozi wa mpira hapa bongo, ukiona hivyo wanajiandaa kufanya siasa, kama mnakaa kukataa magoli ya penati basi ligi kuu ya soka nchini ni ya kufuta na tuendelee kushabikia ligi za ulaya tu
TFF kipindi ligi ya msimu uliopita inaelekea ukingoni walisema kabisa magoli ya penati yana point chache, so msimu huu naona wanaona aibu kutumia kanuni walio itumia msimu uliopita.

Haya ngoja tuone,so kanuni hawaja tunga mpaka hivi sasa,ila msimu uliopita walitunga kabla ya ligi kuanza kwa ligi, hii ndio ligi yetu.
 
Sio aibu tu, Ni aibu kubwa sana. Ulaya mechi zikiisha tu mfungaji bora anajulikana hata kama wachezaji watatu wana maoli sawa kutokana na kanuni zao kua wazi.
 
UTARATIBU WA FIFA UPO KAMA IFUATAVYO.

1.Wanaangali mchezaji aliyefunga MAGOLi mengi zaidi kwenye mashindano.

2.kama wachezaji wamefungana wame( tie) MAGOLi aliyecheza MICHEZO MICHACHE ndio anapewa ufungaji Bora.

3.kama wote WAMECHEZA michezo sawa wanaangalia Mchezaji MWENYE Asisist nyingi.

KAMA TUNGEKUWA TUNAFUATA SHERIA ZA FIFA SAIDO ANGEKUWA MFUNGAJI BORA NBC 2022-2023.
 
Acha bangi wewe...

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Umeambiwa kanuni zilibadilika unakazania ya mwaka jana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Sie wa afrika hata mambo sijui yako vp yaani tuko sijui kinyume au vice versa hata sielewei ukienda CAF final ina home na away, bongo mfungaj bora haeleweki na apo yanga alishatangazwa bingwa kabla hata ligi kuishi, sijui ina ka vp hii
 
Umeambiwa kanuni zilibadilika unakazania ya mwaka jana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Sasa kanuni ya mfungaji bora ndio inaenda kutungwa ndani ya wiki hii moja sio ndio maana yake. Yaani bongo kuna kamati mpaka ya kudiscuss mfungaji bora msimu huu.

Nakazania ya msimu uliopita sababu ndio iliyopo.
 
Unaacha kujadili hoja ya msingi unachangia ujinga.sio lazima kila mara tuweke ushabiki mandazi.
 
Sasa kanuni ya mfungaji bora ndio inaenda kutungwa ndani ya wiki hii moja sio ndio maana yake. Yaani bongo kuna kamati mpaka ya kudiscuss mfungaji bora msimu huu.

Nakazania ya msimu uliopita sababu ndio iliyopo.
Kanuni na sheria zilibadilika, ila hazikuwekwa wazi,
Ko kuwa mpolee atajulikana siku ya tuzo mtu anayechukua golden boot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…