Mwanamuziki na mpigania haki za watu weusi Mwingereza Akala anajaribu kuchambua maendeleo yaliyofanywa na waafrika kabla ya ukoloni. endelea kuitazama Lecture yake aliyoifanya Oxford
Unamshangaa huyo?Kuna Mjamaica mwingine alikuwepo aliitwa Walter Rodney.Aliijua Afrika haswaa...ila sisi Watindiga tupo tupo tu, tuko busy na Diamond Putnam wetu.Hovyo sana.