Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,571
Kapita mdada huyo amejikiroga koroga na mikorogo amebabuka kama kababu aisee nimerudi nyumbani nimeshindwa kula hata nyama. Hivi nani kawaambia mkijibabua ndo tutawapenda kwanini hamthamini rangi yenu ya asili mpaka mnajidhalilisha namna hii.
Unakuta mdada ana karangi kazuri tu cha kiafrika anaona kama hapendezi anaenda kujirundika micream ya ajabu hadi anakuwa kama vampire. Naomba tuwaambie tu kwamba sisi hatupendi hizo rangi za kubushi tunataka original colour kwaio msijisumbue aiseee hii sasa too much daaah.
Wewe dada uliyepita mida ya saa 4 pale maeneo ya makumbusho mbele kidogo ya tropical naomba tu nikuambie ulivyopita watu walikuwa wanakucheka na hiyo mikorogo yako bora uachane nayo tu.