Ni aibu show ya Kiba Mombasa kama yupo msibani

Tehteh diamond bana.... Wimbo 1wa kiba Povu beseni zima je angetoa na nyigine c mngekufa na presha?
yani aje kwa ngoma 3za chibu lkn aje bado iko juu.
Lol
Diamond katoa nyimbo 2 mwaka 2016 ambazo ni Kidogo na Salome, Alikiba katoa nyimbo 4, Aje, Unconditional bae(wimbo wa pamoja na Sauti Sol), Lupela na Kajiandae (wimbo wa pamoja na ommy), una swali Dada?
 
Je kajiandae alioshirikiana na ommy, na lupela kumbe cyo zake au kwa kuwa zimebuma mnazikataaa
Pole na hapo n miaka3 alkua kaacha mziki
Kuanza aje chibu katoa ngoma ngapi? ndan ya lifetime ya aje...
Achana na za kushirkishwa
 
Diamond katoa nyimbo 2 mwaka 2016 ambazo ni Kidogo na Salome, Alikiba katoa nyimbo 4, Aje, Unconditional bae(wimbo wa pamoja na Sauti Sol), Lupela na Kajiandae (wimbo wa pamoja na ommy), una swali Dada?
Amesaau neyo na papa wemba
 
Pole na hapo n miaka3 alkua kaacha mziki
Kuanza aje chibu katoa ngoma ngapi? ndan ya lifetime ya aje...
Achana na za kushirkishwa
kidogo na salome........kajiandae ipo wapi au kwa kuwa imebuma
 
Huyu hana app ya Millard ayo,msidie kwanza halaf akiona yule promota akiongea atakuja kutuomba samahan
Promota alisema watu walibaki wachache ukumbini hivyo ikaahirishwa. Au wewe unadhani K hakufika kabisa ukumbini!!?
 
Promota alisema watu walibaki wachache ukumbini hivyo ikaahirishwa. Au wewe unadhani K hakufika kabisa ukumbini!!?
show watu walikuwa wachche sana afu show yenyewe inapigiwa bar
 
Ingia YouTube Millard ayo ka wahoji waandaji
Hao wa YouTube sio watu!? Kwakuwa umesema nisipende kuwasikiliza watu!! By the way hakuna la ziada zaidi ya kusema Show iliahirishwa kutokana na uchache wa watu. Japo sijui imeahirishwa mpaka lini...
 
Hao wa YouTube sio watu!? Kwakuwa umesema nisipende kuwasikiliza watu!! By the way hakuna la ziada zaidi ya kusema Show iliahirishwa kutokana na uchache wa watu. Japo sijui imeahirishwa mpaka lini...
Thank you at least you have shown me your perspective isn't to gain anything but to portray you know everything
Omniscient beings never get the best of everything
Good day to you
 
Mbn mnajitekenya afu mnalazimisha watu mucheke nao king atabaki kuwa king nyie ongeen tu
 
Amesaau neyo na papa wemba
Tofautisha wemba ft diamond na wemba x diamond. Labda na hyo ya neo ndio zinakuwa 3 bt alikiba hizo ambazo jamaa kazitaja ni ...... x alikiba not. ......ft alikiba.
 
Mmekula lkn au ndo kumuandika huyu jamaa kwanza ndo mpate ugali???
 
Kawadanganye Dada zako sawa??!
 
Diamond katoa nyimbo 2 mwaka 2016 ambazo ni Kidogo na Salome, Alikiba katoa nyimbo 4, Aje, Unconditional bae(wimbo wa pamoja na Sauti Sol), Lupela na Kajiandae (wimbo wa pamoja na ommy), una swali Dada?
Kidogo ilitoka mwaka gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…