johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Kwani kidogo ni ya mwaka ganiTofautisha wemba ft diamond na wemba x diamond. Labda na hyo ya neo ndio zinakuwa 3 bt alikiba hizo ambazo jamaa kazitaja ni ...... x alikiba not. ......ft alikiba.
Hiyo ni fete?mbona kama ni party ya wafanyakazi tu?
Ile show iliomfanya atake kuuwawa aliirudia?
Kiba anazidi kwenda chini.Diamond Tarehe 5,anatumbuiza dunia akiwa Abuja kwenye tuzo za CAF
wewe wa wapi mkuuWanaume wa dar wanamatatizo
picha huoni na maandishi huoni nyokooooo huoni nyumi ya watu hapo?Mbona watu wachache sana afu picha zimepigiwa mbali sana afu full cropping za kutosha......daah aibu sana sizani kama watu 300 wanafika kwny hii show ni aibu sana
Ushauri msanii ukiona show imebuma jaribu kuuchuna usiposti picha mbona mond show zake zinapobuma hapostigi picha anakausha tu kwa mfano show ya uwanjani ile aliyofanya Mayotte hakuposti unajua tatzo nn
Kiba siku nyingne ukiona show yako imebuma kausha tu show gan mbovu iv watu wachache kweli afu unajisifu unakubalika mombasa punguzeni sifa zitawaponza
Tuache utani show hiyo imebumapicha huoni na maandishi huoni nyokooooo huoni nyumi ya watu hapo?
we nahis una makengexa ya nyumaTuache utani show hiyo imebuma
Aibu ya mwaka show haina watu kabisa, Mombasa wamezoea show za bure anazofanyaga kiba so namshaur akitaka watu wawe wanajaa kwny show zake aendelee na show za bureHitmaker wa Aje, Alikiba alifanya show wikiendi hii mjini Mombasa, Kenya ya kuuaga mwaka 2016 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Zifuatazo ni video na baadhi ya picha za show hiyo.