Ni aibu VIONGOZI kukibeza kiswahili,ilhali wageni wanakitamani.

Ni aibu VIONGOZI kukibeza kiswahili,ilhali wageni wanakitamani.

Joined
Mar 9, 2012
Posts
22
Reaction score
1
Mbali ya lugha kuwa kitambulisho kkubwa cha utamaduni wa jamii yyte duniani,china japan nk. Wanahakksha kila wanachozalisha kinakuwa na lugha yao ingawa wanaweka na kngereza.Pia ss ni mashuhuda wa nchi nyingi kuhamasisha watu kusoma lugha zao pamoja na kuanzisha vtuo vya utamaduni wao hapa nchini,Wakati hayo yakifanyika waTZ hasa VIONGOZI wetu ndio kwanza wanavuta shuka na kukoroma. Kama ss wenyewe tunashindwa kuithamini LUGHA yetu tunayosema ni ya taifa tunamsubiri nan aje kujivunia lugha hii? Ktk kuonyesha kuwa hakuna mtu mwenye wazo hilo fuatilia mikutano ya baloz mbalimbali hapa nchini ambayo viongozi wa ksiasa ama serikalini hualikwa utakuta mTZ aliyealikwa kama mgen wa heshima anasoma hotuba yake kwa kingereza,Tena kibaya zaidi kngereza chenyewe utakuta ni kibovu kwangu mm huu ni ulimbukeni tena ni aibu na kujidhalilisha kwa kiasi kikubwa,inaonyesha ni kwa kiasi gani tusivyopenda vitu vya kwetu.
 
Back
Top Bottom