Ni aibu ya Mwaka Kwa Amos Makalla

Makalla amechanganyikiwa, hajui ashike lipi na aache lipi.
Mambo yanadaiwa yameshaparanyika huko ndani ya CCM, Makalla kaambiwa wewe ni mtu mzima tena mwenye CPA sasa nenda kaseme chochote kilichopo kichwani ili kutuliza mambo.
😁😁😁Aisee unajua nimefurahi Samia kaumiza sana Chadema akitegemea atapata unafuu kimemlamba
 
Chama kinaongozwa na Jezebel aka jini Shumileta
 
Nimegundua CCM hawana aibu,kama hawana akili.
Wabunge karibia 5,000 wamelipia 500,000 kununua fomu za kugombea majimbo yote nchini!

Wanakwenda kuchunjwa na Samia Kamati kuu,wakati yeye hakulipia fomu ya Urais, hakuchukua fomu ya kugombea na hakuirudisha. Huo uhalali uko wapi au haki Iko wapi?
 
Ilikuwa kumzunguka bi Mkubwa

Wahuni si watu
Samia siyo mwana siasa. Alitoka kwao na makapu ya nazi na ng'onda hajui lolote kuhusu siasa za Tanzania
Cheo cha VP kiliwekwa kama zilivyowekwa nafasi 10 za wabunge zile za raisi. Kwamba ikitokea siku bunge ni 50% kwa 50% basi wale 10 watazidisha idadi ya ccm.
Vp amewekwa kwamba ikitokea ya magufuli huyu amalizie sasa kamaliza anachonga mzinga
 
Tanzania kuna vituko kwa hiyo hii aibu ya mwaka unayosema itafanya uchaguzi usiwepo😀
 
Mpaka muda huu hapiti
 
Mifumo haisomani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…