Ni aibu ya Mwaka Kwa Amos Makalla

Hili gudulia huwa halijielewi! Lione lilivyovimbiana shauri ya kodi yetu!
 
Uwezi jivimbiavimbia kama kitumbua na IQ ikasoma kichwani, never under the earth
 
We kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!
Hilo dude kubwa unalolitaja kuwa mwangalifu lisije likakuingia makalioni
 
Raisi wa viti maalumu😄😄
 
Eti "Rais wa viti Maalum".
Kwa kweli hatuko tayari kuongozwa na aina hiyo ya Rais.
Tunamtaka yule ambaye amepitia hatua zote halali kuanzia kwenye chama chake hadi kwenye kura za wananchi.
Msituuzie mbuzi kwenye gunia bwashee.
Jitu halijapigiwa kura, limejiptisha bila kura, limemfunga mpinzan mkuu Ili lipite kihurahis,,,ila aibu anazokula Samia si za nchi hii
 
Cry more kid. Hiyo ndiyo imekwisha. Samia ndiye mgombea, na Oktoba anapeta, jipangeni na 2030. Don't waste your energy for the 2025 elections. You are hopelessly out of time
Dadadeki sindano zimekuingia😁
 
Ahahahaaaa amesahau jana akiongea nini
 
We kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!

Hasira ya nini sasa. Utafikiri wewe ni Abdul au Riz1.....!!
 
Kwa matusi anayokutana nayo, mitandaoni, ukizingatia ni WA dini Ile,ningeachia ngazi.
Bibi yule haonagi aibu???
 
Samia na Kikwete, wameifanya hii nchi kama kitanda cha starehe yao.Washindwe na walegee
 
We kibwengo ht uloge, uiombee dua mbaya CCM we ni sawa na kuku tu. Lipumbavu fukara km ww unahangaika na dude kubwa km CCM km siyo kichaa ni nini. We unaumwa!
Unajisifia ccm huna aibu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…