Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cheti CHA ndoa ni kimoja kinatoka serikalini kikitolewa kanisani, miskitini, au bomani ni kile kile sema ujazaji unategemea na dini na dhehebu
NADAUT NA JIBU LAKO, NATMAI CHA BOMANI UPANDE WA SERIKALIN KNATAMBULIWA NA KUKUBALIKA ZAID VIVO IVO UKU MSIKITINI TNATAMBUA CHA BAKWATA TUKIAMINI WALOFUNGIA BOMANI WANAFANYA ZINAA KWAN HAKUNA NDOA YA BOMANI, OLIGWa?
Nahitaji msaada wenu wanasheria, ukifunga ndoa kanisani au bomoni ni cheti kipi kinatambulika na serikali katika maswala yote ya kiserikali mfano uhamisho wa mke je, utachopewa kanisani au kile cha bomani?:happy:
Kama alivyosema @puduku cheti ni kimoja tu kwa dini zote ndicho kinachotambuliwa na serikali. Sema aina ya ndoa ndiyo matashi ya mtu binafsi lakini kokote uendako utapata cheti cha serikali.
NADAUT NA JIBU LAKO, NATMAI CHA BOMANI UPANDE WA SERIKALIN KNATAMBULIWA NA KUKUBALIKA ZAID VIVO IVO UKU MSIKITINI TNATAMBUA CHA BAKWATA TUKIAMINI WALOFUNGIA BOMANI WANAFANYA ZINAA KWAN HAKUNA NDOA YA BOMANI, OLIGWa?
Jibu ni kuwa ndoa za bomani hazitambuliwi kwenye dini ila ndoa za kwenye dini zinatambuliwa serikalini, na cheti ni kimoja kwa ndoa zote.
bofya hapa kuna kitabu kinaeleza yote hayo SHERIA TANZANIANahitaji msaada wenu wanasheria, ukifunga ndoa kanisani au bomoni ni cheti kipi kinatambulika na serikali katika maswala yote ya kiserikali mfano uhamisho wa mke je, utachopewa kanisani au kile cha bomani?:happy: