Ni aina gani ya mmea au kitu gani kinaweza kutoa harafu ya pombe mdomoni hata kama umekunywa mtu asigundue?

Ni aina gani ya mmea au kitu gani kinaweza kutoa harafu ya pombe mdomoni hata kama umekunywa mtu asigundue?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za Mida hii jamaa zangu wa humu na dada wa humu.

Naomba kujua jinsi ya kutoa harafu ya pombe mdomoni sitaki ajue mtu kwamba nimekunywa pombe?

Je, inawezekana hiyo, maana leo nisipoweza hiyo mtanikuta Kusikojulikana🤭

Msaada jamani uwiiii🤦😜🏃
 
Mjohoro au mrungi au mizizi ya majani ya bangi
 
Kunywa chai ya rangi kwa wingi. Kisha kula ndizi mbivu kama tatu hivi. Baada ya hapo zuga na Big G.
 
Mchaichai - Limao - Karanga - Tangawizi

Achana na matumizi ya pombe ni hatari kwa afya yako ya mwili, akili na roho.
 
Kwanza kwenyewe hapa tu nipo vitu niko hoi wanaitwa mundende
 
Back
Top Bottom