Flechaa
Member
- Jul 18, 2018
- 76
- 154
Habari za muda huu wakuu. Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa muziki kama Afromusic hasa za Nigeria,South,Ghana na East africa. Pia christian songs,Hiphop za bongo na mbele kias flani,pia Pop na Reggae kama za Lucky dube,Bob marley, Alpha blondy.
Ila kuna baadhi ya aina za mziki ambazo hua nadownload na kujaribu kusikiliza na kujilazimisha kufeel vibe za aina hiyo ila juhudi zinagonga mwamba na naishia kuzifuta kwenye simu. mifano ya ina hizo za muziki ni kama taarab,mziki wa dansi,trap hasa za mbele na singeli.
Je wewe ni aina gani ya mziki ambao huupendi au hujatokea kuvutiwa nao kabisa maskioni mwako?