Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
Kwanza Kabisa Kabisa nitangulize Shukrani nzito kwenu Wakuu
Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta ya kupikia hivi sasa kutokana na Mafuta kuwa madogo kulingana na Uhitaji wa raia hali hii imezua sana wakati mgumu
Hasa kwa sisi wenye kipato cha kubangaiza kuweza kuendana na bei ya sasa ya 1Litre kwa shilingi 7000,7500 mpaka 8000, sasa kuna aina mbili ya Solid cooking oil ambazo kwangu mimi naona zinaweza tumika kama altenative ili kutufanya tuendelee kula walau chakula chenye mafuta japo kidogo wakati tukiendea kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili la mfumuko wa bei ya mafuta.
Majina ya Solid cooking oil hizo ni KIMBO OIL na BLUEBAND ni ipi yenye u afadhali yakawezekana tumika kupikia chakula? View attachment 2175794[ATTACH type="full" View attachment 2176559
View attachment 2176560