Ni akili gani ex kukuambia kuwa sasa hivi amekuwa malaya?

Ni akili gani ex kukuambia kuwa sasa hivi amekuwa malaya?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
I guess nilikuwa na data na mwehu
Baada ya kutokuonana mwaka jana alikuja location niliyopo then akaomba tuonane tukaonana

Kwenye mazungumzo alitumia muda mwingi kusema kuwa kwamba saivi AMEKUWA MALAYA yeyote mwenye pesa anapita nae

Pia alinipa simu yake akidai nimnunulie Salio bila kutoa password za simu wala kuniambia password za m-pesa

Nikanunua na akawa anacheka tu kuwa Kuna ndugu zake hata wapenzi wake waliopita hawajui Siri zake kama Mimi tujitahidini kudate walio timamu
 
Nguvu ya kukutana na hao "Yesterday’s news" mnatoa wapi vijana ?

Mko na biashara yeyote ya kuwaingizia pesa hadi mfanye mazungumzo?
 
Nguvu ya kukutana na hao "Yesterday’s news" mnatoa wapi vijana ?

Mko na biashara yeyote ya kuwaingizia pesa hadi mfanye mazungumzo?
Mtu aliomba tu
 
Back
Top Bottom