britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kwa wale ambao tumebahatika kuijua CCM kwa undani, Makali ya Magufuli yataisha mara tu baada ya Kuapishwa kuwa rais 2020/2026.
Nimemuona Bashiru Twitter akiwaonya Nape na Kigwangala kwa Mambo Binafsi,
Nahisi Bashiru ama ni mshamba mmoja ambaye hajui matumizi ya twitter ama anajitoa ufahamu
Katibu Mkuu kasahau kwamba Mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu (kipindi Cha kwanza Cha Urais kinapoisha)tunapoenda kipindi Cha Pili basi uchaguzi huo unapoisha.
Wanasiasa huanza MARA MOJA kupanga safu ya Urais wa Awamu unayofuata.Hapo tayari na 'kambi/Mtandao wa fulani' zimeshaanza kuandaliwa kichinichini; ndo maana watu Kama kina Nape wanaanza kujipitisha huku&Kule kutengeneza 'upepo' wa fulani' ama kujitengenezea mazingira wao wenyewe kwa Ajili ya Urais wa Awamu ya6!
Anachemka akudhan atawapangia kina Nape Nnauye cha Kufanya
na kuwalazimisha kutoendelea na kampeni kwa ratiba zao, eti wanapaswa wasimame na rais,
Britannica