ni anatumikia kifungo cha nje ama?

ni anatumikia kifungo cha nje ama?

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
20,649
Reaction score
4,786
kumekuwa na mparaganyiko katika hili, mara wengine wanasema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGO CHA NJE''
huku wengine wakisema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGONI CHA NJE''.

Utata upo kwenye neno ''KIFUNGO CHA NJE''.
Je kifungo hicho ni cha Shati au cha Suruali ama ni cha sketi?
 
Back
Top Bottom