Prince mrema
Member
- Oct 11, 2017
- 61
- 72
Habari wadau ni apps gani inayoweza kutoa mkopo kwa njia rahisi na uhakika? Branch na tala hawa hawaeleweki wameweka hizo app watu wadownload ili tu wapige hela.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu nielekeze hawa branch mikopo yao ina mashart yapi maana nilikopa wakaniwekea Zengwe hawakunikopeshaBranch wa uhakika ndugu labda useme wewe una jambo jingine.. Hao Tala siwezi wa ongelea mana sija wahi kopa kwao lakini Branch wako poa.. Mpaka sasa nakopa mpunga mrefu kiasi kwao na una nisaidia sana na riba yao sio mbaya sana... Timiza masharti yao wanayo yataka na uta fanikiwa sana... Kumbuka pia dawa ya deni ni kulipa
Ndo wanakopesha elf 20 tu tehBranch boss iko safi....
kama mtu utaanza kukopa 50000 hii itasaidia chini ya hapo ni msoto wakuuNdo wanakopesha elf 20 tu teh
Ndo nimeingia kwa mara ya kwanza kwenye hiyo app, kwanza sharti lazima uwe na account facebook, mtaka cha uvunguni imebidi nifungue account chap, nakuta mkopo ni elf 5, 10 na 20kama mtu utaanza kukopa 50000 hii itasaidia chini ya hapo ni msoto wakuu
Kwako ndogo ila kwa mwingine mtaji kabisa huo na chenji inabakidah sasa Ndugu zangu unakopa 70K unafanyia nini kwa Mfano
Embu Nambiee Evelyn Unafanyia NiNI iyo PesaKwako ndogo ila kwa mwingine mtaji kabisa huo na chenji inabaki
Anaekaanga mihogo barabaraniEmbu Nambiee Evelyn Unafanyia NiNI iyo Pesa
Evelyn ukipewa iyo ela afu iwe na riba ya 5K utakubaliAnaekaanga mihogo barabarani
Anaeuza maji ya kandoro
Anaetembeza mayai
N.k
Hiyo hela ni kubwa sana kwao
Hivi 5k ni elf 5 au mi na hesabu ni maji na mafutaEvelyn ukipewa iyo ela afu iwe na riba ya 5K utakubali