Ni app gani inayoweza kutoa mkopo kwa njia rahisi na uhakika?

Prince mrema

Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
61
Reaction score
72
Habari wadau ni apps gani inayoweza kutoa mkopo kwa njia rahisi na uhakika? Branch na tala hawa hawaeleweki wameweka hizo app watu wadownload ili tu wapige hela.
 
Branch wa uhakika ndugu labda useme wewe una jambo jingine.. Hao Tala siwezi wa ongelea mana sija wahi kopa kwao lakini Branch wako poa.. Mpaka sasa nakopa mpunga mrefu kiasi kwao na una nisaidia sana na riba yao sio mbaya sana... Timiza masharti yao wanayo yataka na uta fanikiwa sana... Kumbuka pia dawa ya deni ni kulipa
 
Ebu nielekeze hawa branch mikopo yao ina mashart yapi maana nilikopa wakaniwekea Zengwe hawakunikopesha
 
kama mtu utaanza kukopa 50000 hii itasaidia chini ya hapo ni msoto wakuu
Ndo nimeingia kwa mara ya kwanza kwenye hiyo app, kwanza sharti lazima uwe na account facebook, mtaka cha uvunguni imebidi nifungue account chap, nakuta mkopo ni elf 5, 10 na 20
 
Tala wako powa. Unapata 70elfu ila uwe na Voter ID na ujibu maswali kama mtu utaeweza kulipa kwa wakati.kila lakhel
 
dah sasa Ndugu zangu unakopa 70K unafanyia nini kwa Mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…