Tala weziTala wako powa. Unapata 70elfu ila uwe na Voter ID na ujibu maswali kama mtu utaeweza kulipa kwa wakati.kila lakhel
Wezi hamna kitu...ukifika kiwngo cha elfu 30 ukitaka kwenda juu wnanakuambia haukidhi vigezoTala ndio mpango
Tala pia wapo vizuri nikufuata taratibu zaoBranch wa uhakika ndugu labda useme wewe una jambo jingine.. Hao Tala siwezi wa ongelea mana sija wahi kopa kwao lakini Branch wako poa.. Mpaka sasa nakopa mpunga mrefu kiasi kwao na una nisaidia sana na riba yao sio mbaya sana... Timiza masharti yao wanayo yataka na uta fanikiwa sana... Kumbuka pia dawa ya deni ni kulipa
yap zipo playstoreKwahiyo branch, tala na L-pesa zinapatikana playstore au? Maana nahisi kama sijaelewa hivi
Wanakera habari ya kua na account facebook ndo ujinga gani sijui msiiiiiewNdo nimeingia kwa mara ya kwanza kwenye hiyo app, kwanza sharti lazima uwe na account facebook, mtaka cha uvunguni imebidi nifungue account chap, nakuta mkopo ni elf 5, 10 na 20
Hata mi sipendi hiyo mi sipendi kuwa facebookWanakera habari ya kua na account facebook ndo ujinga gani sijui msiiiiiew
L-Pesa Tanzania pia iko powaa. Unaanza na $1 dola unaupgrade credit na unaweza kopa hadi $50 kwa siku moja tu na limit ni hadi dola 3000 mkopo binafsi. Kikubwa ni hicho wakuu wamesema DAWA YA DENI NI KULIPA.
Hawa l-pesa nimeomba mkopo wa dola20 tangu tarehe 27 octoba hadi leo iko pending. wanazingua sanaL-Pesa Tanzania pia iko powaa. Unaanza na $1 dola unaupgrade credit na unaweza kopa hadi $50 kwa siku moja tu na limit ni hadi dola 3000 mkopo binafsi. Kikubwa ni hicho wakuu wamesema DAWA YA DENI NI KULIPA.
Masharti yao makubwa ni kuwa na taarifa zinazo shabihiana kati ya hizo utakazo zijaza hapo kwenye app yao... Na za facebook yako.. Taarifa zako wakisha zipitia ndani ya siku moja hadi mbili wana kuruhusu kukopa... Ukienda vizuri kiwango chao cha mwisho kukopa ni milioni moja... Na ukianza kukopa laki kwenda mbele utaanza kurudisha ndani ya miezi mitano.. Chini ya hapo utarudisha deni lao ndani ya mwezi1.. Wapo vizuri tu mpaka sasa sijaona tatizo lao... Kumbuka Dawa ya deni kulipaEbu nielekeze hawa branch mikopo yao ina mashart yapi maana nilikopa wakaniwekea Zengwe hawakunikopesha
Kuna uzi humu naona watu wanaisifia hiyo tala na branch. Vp mkuu jamaa ni wababaishaji?Wadau ni app gani inayotoa mkopo tofauti na tala au branch? Hizi app naona zimekaa tu kiutapeli. Kama branch ndo amna kitu kabisa
Amna kitu apoKuna uzi humu naona watu wanaisifia hiyo tala na branch. Vp mkuu jamaa ni wababaishaji?
Tala wanahusika na mikopo gani jamaniTala wako vzuri
Biashara o binafsi...but ukiwa MWAMINIFU unapata Mkopo mkubwa....me nakula 900000 nmeanza n.a 20000Tala wanahusika na mikopo gani jamani