ashy me JF-Expert Member Joined Nov 2, 2017 Posts 460 Reaction score 299 Dec 12, 2017 #41 Prince mrema said: Wadau ni app gani inayotoa mkopo tofauti na tala au branch? Hizi app naona zimekaa tu kiutapeli. Kama branch ndo amna kitu kabisa Click to expand... Branch waznguaji ila tAla wanatoa ...sidhan ka IPO mingine
Prince mrema said: Wadau ni app gani inayotoa mkopo tofauti na tala au branch? Hizi app naona zimekaa tu kiutapeli. Kama branch ndo amna kitu kabisa Click to expand... Branch waznguaji ila tAla wanatoa ...sidhan ka IPO mingine
madia madia JF-Expert Member Joined Sep 30, 2017 Posts 717 Reaction score 701 Dec 12, 2017 #42 Prince mrema said: Wadau ni app gani inayotoa mkopo tofauti na tala au branch? Hizi app naona zimekaa tu kiutapeli. Kama branch ndo amna kitu kabisa Click to expand... Du bora umetuambia maana kila siku wanajitangaza.
Prince mrema said: Wadau ni app gani inayotoa mkopo tofauti na tala au branch? Hizi app naona zimekaa tu kiutapeli. Kama branch ndo amna kitu kabisa Click to expand... Du bora umetuambia maana kila siku wanajitangaza.