Ni App gani ya manunuzi mtandaoni, naweza kuagiza bidhaa kama vile Flash disk au T-Shirt , na zikawa Printed kwa Jina ninalotaka mimi?

Ongea na wachina huko Taobao, AE, Pindouduo, Geabest, Alibaba n.k wanaweza kukubali kikubwa mpunga tu lazima wakuchaji pesa ya ziada..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…