Hplp2275H
JF-Expert Member
- Jan 21, 2021
- 556
- 1,660
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends
Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku upuuzi kama wa dj tee, sam misago n so like
Inshort fb kibongobongo ni uwaki. Mara nianze kutumiwa message inbox Like back nakukubali kwamba pita na kwangu. Ushoga Sana unakutaa na msg request Niaje modo wangu. nakukubali unaweza kupiga mzigo
Instagram nako kibongo bongo ni umbea tuu. Mainfluencer uchwara na pia kama naweza kumfollow Prince Wa,Robert kiyosaki,Strive masiyiwa. Na akili kubwa zingine Twitter why nihangaike na Ig na Fb.
Jamii Forum naingia kupitia browser huku mambo ni wiu wiu.