AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Tafuta huyu benazhir Bhutto. Alikuwa PM Pakistan na ndio pekee female .Hivi kiislamu mwanamke kuwa raisi,kiongozi mkuu juu ya jamii pana kama tunavyoona hapa nyumbani ni sahihi?
Kwahiyo Pakistan kuongozwa na mwanamke ndio kusema Qur'an iko wrong?Tafuta huyu benazhir Bhutto. Alikuwa PM Pakistan na ndio pekee female .
Hapa bongo hatuna waislamu tuna makapi
Qur'an imekataa.Hivi kiislamu mwanamke kuwa raisi,kiongozi mkuu juu ya jamii pana kama tunavyoona hapa nyumbani ni sahihi?
Kwa tafsiri ya yanayojili Tanzania na uhalisia WA kitabu na Imani yenyewe it's total wrong .Kwahiyo Pakistan kuongozwa na mwanamke ndio kusema Qur'an iko wrong?
Qur'an haiwezi kuwa wrong ili kukufurahisha wewe na wajinga wenzako.Kwa tafsiri ya yanayojili Tanzania na uhalisia WA kitabu na Imani yenyewe it's total wrong .
Quran ina ruhusu mwanamke kuwa kiongozi?Qur'an haiwezi kuwa wrong ili kukufurahisha wewe na wajinga wenzako.
Qur'an ndio muongozo wa waislamu, asiyefuata muongozo huo huyo siyo Muislamu.
Kule Zanzibar kuna mbunge wa c alitangazwa mshindi kwa kura za wizi, lakini wazazi wake ni Waislamu safi walimwambia asiwashirikishe kwenye dhulma aliyofanya, yule mbunge alijiuzuru kabla ya kuapishwa.
Misingi ya dini ndio iko hivi, na siyo kuchaguwa yale yanayokupendeza wewe tu.
Inaruhusu lakini siyo kuwa Khalifa, msikilize vizuri Sheikh Walid.Quran ina ruhusu mwanamke kuwa kiongozi?
Niwekee quotation kutoka ndani ya quran mambo ya msikilize shekhe flani hatutakiInaruhusu lakini siyo kuwa Khalifa, msikilize vizuri Sheikh Walid.
Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata
Sema ni asili ya watanzania kutii mamlaka usisingizie uislam. Uislam unasimamia haki popote pale ambapo dhuluma ipo bila kuangalia mamlaka za kidunia.Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Na ndio maana siasa kali walimuuaTafuta huyu benazhir Bhutto. Alikuwa PM Pakistan na ndio pekee female .
Hapa bongo hatuna waislamu tuna makapi
Kutii mamlaka juu ya utekaji kuwaua watu kuwabambikia kesi za uongo wizi wa pesa za umma, vitendo haramu vya kishetani ndio waislam mnapenda? Mnatii mamlaka kwa kubariki mauaji manyanyaso kwa wakosoaji, waislam nani kawaroga?Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Hii JF inaanza kuwa cha hatari wabaguzi wamehamia humu, na siku serikali ikifunga huu mtandao mmiliki wake asijeanza kulialia wana uwezo w kuchuja threads wakazuia hizi za kibaguziHivi kiislamu mwanamke kuwa raisi,kiongozi mkuu juu ya jamii pana kama tunavyoona hapa nyumbani ni sahihi?
watesi nao siyo wajinga wanajua Bakwataccm kuna ibirisi wengi kuna unafiki kuna uchawa kwa ccm na mambo mengi ya hovyo ambayo wangependa kuyajua hawawezi funga hukuHii JF inaanza kuwa cha hatari wabaguzi wamehamia humu, na siku serikali ikifunga huu mtandao mmiliki wake asijeanza kulialia wana uwezo w kuchuja threads wakazuia hizi za kibaguzi