Huko kwenu ndipo ibirisi mashetani pepo zote wanaishi kwani kuna upumbavu wa kutisha sana, mfano sasa mfano sasa mmejotoa fahamu zote kwa Ufala wenu mnataka kuleta UDINI kwa njia haramu za kishetani, watanzania siyo wapumbavu kama nyinyi chawabakwata tawi la ccm, watanzania wanajua utekaji hauna Dini walotekwa ni kila Dini, Bakwata acheni ufalaUislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Sudan Afaganistan ndipo uislam umedhihirisha mambo ya hovyo sana kule Dafur wanafanya vitendo haramu vya kishetaniUCHAMBUZI WA KINA :
Uislamu upi huo? Wasiofanya mapinduzi, mabadiliko, vuguvugu, uchaguzi ? Ni wa Muslim brotherhood, Sunni, Shia au Sufi wa Abu Dhabi n.k ?
Maana tunaona Muslim Brotherhood kule Egypt, Sudan walikuwa wachochezi wa Arab spring revolution kupinga watawala waliopo madarakani na kusababisha madikteta wa Tunisia, Egypt kupinduliwa na demokrasia ya kiislamu inayohoji mienendo ya watawala kuhojiwa, kupingwa kwa maandamano, kuchagiza uchaguzi n.k
Wakati maSufi wa kule Abu Dhabi, UAE Emirati 7 zinafanya juhudi zote kufanya raia wasishiriki katika siasa, wasihoji, wasifanye midahalo kwa kifupi Sufi hawataki uchaguzi wowote bali familia ya watawala ndiyo wataamua nani arithi uongozi bila raia kushirikishwa
Tukienda nako Tehran Iran waislamu Mashia wanafanya siasa, wanafanya uchaguzi, wanafanya mapinduzi kuondoa watawala au kungoa mfumo wasioutaka .
Tukienda kule Bangladeshi tuliona nchi hii ya Sunni watu wakiandamana na kumtimua waziri mkuu kutoka Ikulu akakimbia nchi.
Pia nchini Pakistani nchi yenye Sunni wengi kuna vyama vingi, watawala hupinduliwa siasa za vyama vingi vikishindikana kuwa huru. Watawala wa zamani hufunguliwa mashtaka na kutupwa jela baada ya kuondolewa kwa nguvu ya umma Ikulu n.k
Hapa jirani Sudan nchi ya kiislamu pia wanazichapa wenyewe kwa wenyewe hata kama kuna mtawala ili wamuondoe wafanye mabadiliko.
Na nchi jirani ya kiislamu ya Zanzibar walifanya mapinduzi matukufu 1964 kumng'oa Sultani, ambaye baadaye alipewa ukimbizi kwa siku kadhaa katika nchi ya Tanganyika akapewa jumba Oysterbay jijini Dar es Salaam akisubiri taratibu za ukimbizi kukamilishwa aende Uingereza.
Bakwataccm wao wanatii kila baya la ibirisi wa ccm, wanatii maovu yote ya ccm kuna ushetani wa kutisha huko kwa wanafikiKwani utajuaje umetii mamlaka?
Na utajuaje pia hujatii mamlaka?
Mamlaka ikikosea inabidi nini kifanyike?
Waislam wanatii mamlaka waibe pesa za walipa kodi, wanatii mamlaka iwabambikie watu kesi za uongo, wanatii mamlaka kwa kuwatuma waende kufunga kanisa la Gwajima kwa njia haramu za kishetaniNiwekee quotation kutoka ndani ya quran mambo ya msikilize shekhe flani hatutaki
Maana ninajua mamlaka hizo zinakosea sana tu sasa atueleze mamlaka ikikosea nini kifanyike zaidi ya kukosolewa.?Bakwataccm wao wanatii kila baya la ibirisi wa ccm, wanatii maovu yote ya ccm kuna ushetani wa kutisha huko kwa wanafiki
Hivi kuna watu wanafiki kama waislam, nauliza tu kutolana na nionavyo?Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Unayoongea ni kinyume kabisa na tawala za Kiislam hapa düniani.Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Toka lini?Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Unaongea alafu unajipinga. Sasa Kama umeambiwa kutii mamlaka uwe ya halali au siyo ya halali. alafu hapo unasema amatakiwi kutii Jambo linalohusu kumuasi Mungu. Kuuwa kuteka na kutesa kulawiti ni mambo yanayomoendeza Mungu?. Je huo siyo uasi mbele za Mungu?.Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Maelezo marefu yamekaa Kitapeli nenda kajielimishe kuhusu hadhi na Mtume Mohamed SW kuhusu haki kuipigania haki kwa Muislamu ni ibada ShekheUislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Hata kanisa asili yake ni kuhubiri neno la Mungu, sio kufanya uzinzi na kujirekodi video za namna unavyo tumia kanisa kufanya ufuska 🐒Uislaam unatufundisha waumini wake kutii mamlaka hata kama aliyepata mamlaka hayo hakustahili...au ameyapata mamlaka hayo isivyostahili...madhali amekuwa KIONGOZI...NA MAMLAKA YAPO MIKONONI MWAKE...NI WAJIBU WETU SISI WAISLAAM KUTII MAMLAKA HAYO.
Hata kama kuna wakati utakuwa unaonewa...ila tumeamrishwa kutotoka nje ya utiifu wa kiongozi.
Pamoja na hayo, HATUJARUHUSIWA KUMTII KIONGOZI kwenye jambo linalohusu KUMUASI ALLAAH MUNGU WETU...
Vilevile dini yetu haitaki UNAFKI useme Nyeupe mdomoni, hali ya kuwa nyeusi MOYONI, au USIFIE MAASI YA KIONGOZI ILI KUTETEA MASLAHI YAKO BINAFSI(UISLAAM HAURUHUSU UCHAWA)...
YAANI TUMEAMBIWA NA MTUME WETU MUHAMMAD SWALALLAAHU ALAYHI WA SALLAM KUWA..."SEMA AU FANYA JAMBO ZURI LINALOHITAJIKA, UKIONA HUWEZI PIGA KIMYA."
Naamini wengi wetu tungepewa mamlaka haya haya waliopewa viongozi hawa...mngefanya hivi hivi au zaidi kwa yeyote anayehatarisha mamlaka yako.
Weeengi wamecomment chuki na hii inafungua mazito yaliyopo vifuani mwao.UCHAMBUZI WA KINA :
Uislamu upi huo? Wasiofanya mapinduzi, mabadiliko, vuguvugu, uchaguzi ? Ni wa Muslim brotherhood, Sunni, Shia au Sufi wa Abu Dhabi n.k ?
Maana tunaona Muslim Brotherhood kule Egypt, Sudan walikuwa wachochezi wa Arab spring revolution kupinga watawala waliopo madarakani na kusababisha madikteta wa Tunisia, Egypt kupinduliwa na demokrasia ya kiislamu inayohoji mienendo ya watawala kuhojiwa, kupingwa kwa maandamano, kuchagiza uchaguzi n.k
Wakati maSufi wa kule Abu Dhabi, UAE Emirati 7 zinafanya juhudi zote kufanya raia wasishiriki katika siasa, wasihoji, wasifanye midahalo kwa kifupi Sufi hawataki uchaguzi wowote bali familia ya watawala ndiyo wataamua nani arithi uongozi bila raia kushirikishwa
Tukienda nako Tehran Iran waislamu Mashia wanafanya siasa, wanafanya uchaguzi, wanafanya mapinduzi kuondoa watawala au kungoa mfumo wasioutaka .
Tukienda kule Bangladeshi tuliona nchi hii ya Sunni watu wakiandamana na kumtimua waziri mkuu kutoka Ikulu akakimbia nchi.
Pia nchini Pakistani nchi yenye Sunni wengi kuna vyama vingi, watawala hupinduliwa siasa za vyama vingi vikishindikana kuwa huru. Watawala wa zamani hufunguliwa mashtaka na kutupwa jela baada ya kuondolewa kwa nguvu ya umma Ikulu n.k
Hapa jirani Sudan nchi ya kiislamu pia wanazichapa wenyewe kwa wenyewe hata kama kuna mtawala ili wamuondoe wafanye mabadiliko.
Na nchi jirani ya kiislamu ya Zanzibar walifanya mapinduzi matukufu 1964 kumng'oa Sultani, ambaye baadaye alipewa ukimbizi kwa siku kadhaa katika nchi ya Tanganyika akapewa jumba Oysterbay jijini Dar es Salaam akisubiri taratibu za ukimbizi kukamilishwa aende Uingereza.
Ili uhesabike unaipania haki kiislamu yapaswa jambo liwe na sifa zipi tuanze na hapo mkuuu...Maelezo marefu yamekaa Kitapeli nenda kajielimishe kuhusu hadhi na Mtume Mohamed SW kuhusu haki kuipigania haki kwa Muislamu ni ibada Shekhe
Uhai wa mtu hauna compromiseIli uhesabike unaipania haki kiislamu yapaswa jambo liwe na sifa zipi tuanze na hapo mkuuu...