Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni aibu tupuUtakuta nusu ya matumizi inatoka kwa “wafadhili” mabeberu.
BAJETI HUTEKELEZWA ASILIMIA NDOGO SANA HAIZIDI 30Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
Swali fikirishi.Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?
BAJETI HUTEKELEZWA ASILIMIA NDOGO SANA HAIZIDI 30
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mbwembwe nyingi na udanganyifu.Sasa hizi shamrashamra na chambuzi zote za bajeti huwa za kazi gani!
ni chini ya 40%Kila mwaka bajeti inaongezeka, nina wasiwasi inaongezeka namba tu lakini kwenye utekelezaji ni tuko palepale. Kwa kawaida ni kiasi gani cha bajeti hutekelezwa?