kuna mtu eti anafananisha ID zetu [emoji23][emoji23][emoji23]Nambie my kaka
Wanajukwaa bila hata salamu, kama kichwa kinavojieleza, ni avatar ya member gani humu JF imewahi kukuacha mdomo wazi, kukustaajabisha, kukupa maswali lukuki?
Mimi binafsi nilishangaa nilipoona avatar ya Joseverest na Jovitha kama zinaendana endana hiviiiiiiiiiiiiiii...
Funguka na wewee
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Nimemuonakuna mtu eti anafananisha ID zetu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mkuu Jose unakesi ya kujibu