Ni Bank gani hutoa mikopo kwa miradi ya kilimo cha greenhouse

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Waslaamu,

Naomba maelekezo kwa aliyewahiq kukopa katika mabank hapa nchini,kwa miradi ya kilimo cha kumwagilia na greenhouse.

Nitashukuru kupata maelekezo yenu.

Siku njema.
 
Equity bank.
Lakini hawakupi we keshi wanaipa kampuni ya greenhouse ambayo watakufungia kila kitu hadi irrigation drip pamoja na kukupandia mbegu zao.jaribu equity
 
Waslaamu,

Naomba maelekezo kwa aliyewahiq kukopa katika mabank hapa nchini,kwa miradi ya kilimo cha kumwagilia na greenhouse.

Nitashukuru kupata maelekezo yenu.

Siku njema.
Benki ya Nyumba Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…