Ni bank ipi nzuri kufungua account ya GP (£) hapa nchini?

Ni bank ipi nzuri kufungua account ya GP (£) hapa nchini?

winnerian

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
379
Reaction score
603
Najua huku kuna wataalamu wa mambo ya fedha. Naomba usharui nataka kufungua account ya fedha ya kigeni husasani Sterling Pound (£) na vile vile nataka niwe nahamishia fedha kwenye e-wallet kama neteller, skrill n.k. Nimewaza nifungue Barclays lakini bado sijafikia maamuzi ya mwisho naombeni ushauri wenu kwa mlio watalaamu na wazoefu na mambo ya kibank.

Natanguliza shukrani.
 
Banc ABC mkuu,nenda pale utapewa na Cash card kabisa kama unapenda ku purchase online na transaction nyingine.Wana cash card za currency 5 hadi sasa.
1.TZS
2.USD
3.GBP
4.EURO
5.ZAR(Rand).

In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
 
Shukrani sana kaka may God bless you
 
Vipi kuhusu FNB Bank? Nilisikia ndio bank nzuri kabisa kwa foreign currency including na hiyo Pound Sterling.
 
Back
Top Bottom