Kiongozi unaweza ukawa detail angalau kidogo nipate mwanga huo uzuri wao
Mkuu anamaanisha power bank ya kuchaj cmKiongozi unaweza ukawa detail angalau kidogo nipate mwanga huo uzuri wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilikuja kugundua baada ya kuwa nimeshakommentMkuu anamaanisha power bank ya kuchaj cm
Shukrani sana kaka may God bless youBanc ABC mkuu,nenda pale utapewa na Cash card kabisa kama unapenda ku purchase online na transaction nyingine.Wana cash card za currency 5 hadi sasa.
1.TZS
2.USD
3.GBP
4.EURO
5.ZAR(Rand).
In this world,It doesn't matter who you are,But what you do to Survive.
Atleast Bank ABC...ila backlays wazuri shida yao ni cost zao... usijiloge ukafungua crdb...nmb .au nbc ..
Kaka cost za nini hasa?Ni kweli hawa wapo vizuri sana tatizo lao ni cost
Nipe uzwefu kiongoziMimi nilishafungua barclays bado sijatia pesa tu