Ni barabara gani hapa Bongo zinakunyima raha kwa Kuzidi ajali

Ni barabara gani hapa Bongo zinakunyima raha kwa Kuzidi ajali

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Wadau, mimi nikifika mto wami wakati naenda au narudi toka dar huwa nanyamaza mpaka gari livuke. Wewe mwenzangu wapi pana kunyamazisha?
 
Back
Top Bottom