jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Tuwashukuru Trump na Elon Musk kwa jaribio hili nyeti la kutuondishea wahuni kwa jina la misaada.
sasa ni wakati na fursa wa Serikali yetu kufanya upembuzi yakinifu kuhusu misaada sio tu ya USAID bali wote wanaoleta misaada hiyo nchini.
Je inawafikia na kuleta tija kwa walengwa au ni chaka jingine la wapigaji?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!